ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 27, 2013

SKYLIGHT BAND KUPAGAWISHA FIESTA AFTER PARTY JIJINI MWANZA JUMAPILI HII @ GOLD CREST HOTEL

960002_10202213948170541_802799922_n IMG_6234
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na Joniko Flower wakitoa burudani kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village jijini Dar Ijumaa iliyopita huku Rappa Sony Masamba akionyesha umahiri wake wa kusakata Sebene. Jumapili hii watakuwa kwenye Fiesta After Party kwenye Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza kama kipeperushi kinavyosema hapo juu.
Ila leo kama kawaida tukutane Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_6232
Aneth Kushaba AK 47 na Digna wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_6279
Sam Mapenzi akipagawisha akiwachizisha baadhi ya mashabiki wa Skylight Band.
IMG_6318
IMG_6287
Hapana Chezea Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo....hebu cheki mrembo anavyopagawishwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

IMG_6307
Mduara ulichezeka na watu walijiachia kwa raha zao.
IMG_6313
IMG_6311
Aneth Kushaba AK47 naye akifanya yake jukwaani.
IMG_6268
Divas wa Skylight Band wakitoa burudani.....Aneth Kushaba AK 47 akishambulia jukwaa na wenzake Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar leo pia watakuwepo.
IMG_6305
Tumetokelezea balaaaa.....Bata mwanzo mwisho na Skylight Band.
IMG_6341
Mdau mkubwa wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na swahiba wake kwenye kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita tukutane leo jioni pale pale.
IMG_6343
Sam Mapenzi akiwa ametokelezea na mashabiki wake.
IMG_6337
Mpiga Solo wa Skylight Band Allen Kisso akishow love na mai waifu wake ndani ya Thai Village....Kazi na dawa ndio manake....!!
IMG_6351
Mchezaji mpira mkongwe nchini ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Skylight Band Iddi Baka akipata Ukodak na Sam Mapenzi wa Skylight Band.
IMG_6260
Digna a.k.a Rihanna wa Bongo anakwambia tukutane leo usiku pale Thai Village halafu Jumapili ndani ya Gold Crest Hotel Rock City Fiesta after party.

No comments: