Tuesday, October 29, 2013

ALEX KASSUWI ANDOKA KUELEKEA TANZANIA KWA MAZISHI YA MPENDWA MKE WAKE.

 Juu na chini ni mume wa marehemu Alex Kassuwi akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia Jana Jumatatu Oct 29, 2013. Alex Kassuwi aliondoka pamoja na watoto.

4 comments:

  1. Mungu wangu ameacha mtoto mdogo .God help me Jamani wanangu Wakike Jesus Christ .RIP

    ReplyDelete
  2. jaman hawa watu wamefiwa wanahitaji privacy ya hali ya juu kwa sasa na si hili la kuwapiga picha kila mara na kuwafanya kama show-off...hii si tamaduni zetu wandugu...waacheni waomboleze kwa utulivu na privacy..!.hata wazungu mnaokaa nao huko wanathamini sana privacy ya mtu..!

    ...waoneeni basi hata huruma hao watoto wa dogo msiwadisturb zaidi kisaikolojia..

    poleni sana wafiwa

    mdau
    ujeruman

    ReplyDelete
  3. mUNGU AWATANGULIE KTK YOTE NAKUWAPA NGUVU.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake