ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2013

BAADHI YA MASTAA WA BONGO WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA BABA YAKE WEMA

Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki Dar es Salaam kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu.
Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na mazishi ya marehemu yalifanyika huko Zanzibar.
Mjane wa marehemu Mama yake Wema Sepetu(kati)
Wema Sepetu wa kushoto akiwa na waombolezaji wengine
Tunu Sepetu (kati) Mtoto wa marehemu anayeishi Boston, Massachusetts nchini Marekani 
Kutoka Kushoto ni Msanii ElizaBeth Michael (Lulu) akifuatiwa na mama wa Msanii Marehemu Kanumba
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Msanii wa Maigizo Kajala pia yupo msibani
Junaithar Pemba na Director Johanna marafiki wa karibu na Wema Sepetu
Muandishi wa Gazeti la Kiu Emelda Msibani mtarajia mengi ya udaku kutoka huko, anakazi mbili hapo.

No comments: