ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 25, 2013

BOOKS PUSH PROJECT YA JUMIYA YA WATANZANIA DMV YAPATA MSAADA WA VITABU

 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Amos Cherehani (wa pili toka kushoto) pamoja na mweka hazina wa Jumuiya Genes Malasy (kulia) katika picha ya pamoja na Simba Sakapala (kushoto) Mtanzania aishie DMV aliyekwenda kusaidia kubeba vitabu hivyo na Mwalimu wa School Without Walls ya Wshington DC, Edwrd Ismail katika picha ya pamoja siku ya Ijumaa Oct 25, 2013 siku Jumuiya ilopopata msaada wa vitabu toka shule hiyo, vitabu vitakavyopelekwa Tanzania chini ya mpango mpya wa Jumuiya ya Watanzania DMV unaoitwa "BOOKS PUSH PROJECT". Vitabu vitasambazwa kwenye shule mbalimbali zikiwemo za msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu. 

No comments: