Wednesday, October 30, 2013

DIAMOND AHUDHURIA MAZISHI YA BABA YAKE WEMA NA KUWASHUKIA WAZUSHI.

Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......


Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu 
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake