Watoto wa Hatwelo, Kata ya Ijombe Mbeya wakiwa wamebeba kreti za soda kupeleka kwa mfayabiashara aliyewatuma huu ni muda wa shule
Watoto kitongoji cha Katusi kijiji cha Mjere wilaya ya Mbeya vijijini wakichunga mifugo muda wa masomo
Haya maeneo ya usangu wilayani Mbarali
Mtoto akilea wadogo zake wazazi wameenda shamba huu ni muda wa shule
Baadhi ya vyoo katika moja ya shule huko Mbarali
Mwanafunzi akitoka chooni hana hata kandambili
Mbarali huko darasani wengine wamekaa chini
Makala maalumu ya ya picha hizi za watoto wa wanaoishi Mbeya vijijini tutawaletea wiki ijayo bado tunaendelea na kazi tumegundua wazazi pamoja na viongozi hawana ushirikiano huko vijinini jinsi ya kuwalea hawa watoto
Na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake