Sunday, October 27, 2013

LEO JUMAPILI KUTAFANYIKA IBADA YA KUMUAGA MAREHEMU "BI MARTHA SHANI"

MISA YA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU ITAFANYIKA LEO JUMAPILI TAREHE 27 OCTOBER PALE GREENBELT CHURCH

ADDRESS NI

10110 GREENBELT ROAD
LANHAM.MD.20706

MISA ITAANZA SAA NANE MCHANA HADI SAA KUMI JIONI,ITAFUATIWA NA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU .

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake