Jumamosi Oct 26, 2013 Kijiwe cha Ughaibuni kitarekodiwa New York muda ni saa 9 Alasiri. Nyumbani kwa Dr Temba Kutakuwa na nyama choma, nyama itachomwa kwa kutumia jiko la kisasa la T.E.S wote mnakaribishwa wake kwa waume. Mjadala utakuwa Elimu na Changamoto za kimaisha wanazokutana nazo wanadiaspora zinaweza kuleta mabadiliko ya kimaendelea Tanzania.
Address ni
13306 140 st
South ozone Park, NY 11436
Ukitaka kujiunga wasiliana na Vijmambo New York. Ny Ebra #3474754313
Kruu ya Kijiwe cha Ughaibuni inatangulia shukurani za dhati kwa wale wote watakaojitolea kushiriki.
Aksanteni wadau wa jiji lisilolala.
No comments:
Post a Comment