Washiriki wa kijiwe cha ughaibuni wakichangia hoja kwenye kipindi cha Kijiwe cha Ughaibuni kilichorekodiwa New York Jumamosi Oct 26, 2013.
Mambo yalikuwa kama hivi unavyoona kwenye picha mjadala ukiendelea.
Sister Farida Malya alikuwepo nae kuchangia mawazo yake
Dr Temba kama akiongea kwenye Mdaharo huo wa kijiwe cha ughaibuni
Vijimambo New York akiongoza na kuwaelekeza wanakijiwe wa New York mada itakavyoongelewa.
Lucas na mama Malya
jamani basi muwe mnatuambia mkiwa mnafanya show hapa new york au ndo kwa kujuana tena
ReplyDeleteKwa kipindi cha zaidi ya mwezi kijiwe cha new york kina tanga ziwa na address imewekwa kama wewe ni mnew york u c kose mkutano wa jumuiya j pili 3/11/13 address mtawekewa kumbuka ikiwekwa kwenye vijimambo umealikwa
DeleteLukaaaa .. Kijiwe ni baraza la vijana kuongea ujing na watu wakacheka naona umeligeuza seminar ya maoni... Umeshanipoteza parabola big time..
ReplyDelete