ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 30, 2013

MAJAJI KUTOA UAMUZI WA HUKUMU YA BABU SEYA

Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo ya kifungo cha maisha jela. (Picha na Francis Dande)
Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo. 
Mahakamani.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.
Nyuso za matumaini.......
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakati wakitoka mahakamani.

No comments: