Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua rasmi kongamano la kujadili Mtandao wa maji kwa Nchi Wanachama wa SADC, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leoJijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa 'local Organizing Commitee', Prof. Mtalo Felix, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya kufungua rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko, wakati akiondoka baada ya picha ya pamoja na kufungua Kongamano la kujadili Mtandao wa maji kwa Nchi Wanachama wa SADC, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leoJijini dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano huo, Prof. Mtalo Felix, wakati akiondoka baada ya picha ya pamoja na kufungua Kongamano la kujadili Mtandao wa maji kwa Nchi Wanachama wa SADC, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leoJijini Dar es Salaam.
1 comment:
Yani Kwa kweli nchi yetu Tanzania inasikitisha sana kila ukifungua vyombo vya habari kila siku ni Washa,Makongamano na vikao semina yani Theory nyingi kuliko Practical Jamani punguzeni na ni pesa za walipa kodi ndio zinalipia jamani ikiwezekana vifutwe kwa sababu hakuna matokeo yoyote tuchape kazi tuache mambo ya vikao semina, washa, mara makongamano wakati majirani zetu wanasonga mbele tu na sisi ndio matajiri wa rasilimali na maikini wa maisha katika Africa Mashariki Eee mungu sijui majanga haya yataisha lini
Post a Comment