Tuesday, October 29, 2013

MAPENZI NI UTOTO HASA MKIWA WOTE MNAPENDANA BASI NYUMBA HIYO HUJAWA NA AMANI NA FURAHA KAMA HIVI

Adela Msami na Joseph Msami wa New Jersey.
Baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba wakicheza pumping ilikuwa ni siku ya kusherekea kuzawaliwa kwa baba mwenye nyumba. Mapenzi ni siri kubwa sana kwa wapendana nao na nikitu cha kufurahisha. Watu wanaopendana ugeuka kuwa comfortable na kufanya mambo bila haibu hiyo yote ni kwavile wanaupendo wa dhati, Na upendo huo uwafanya kufanana na kuonekana kama kaka na dada. Haya yote hapa ni mapenzi acha wacheze kwani wanapendana.

3 comments:

  1. Sahihisha bwanaaa hiiiii nyie vipi

    ReplyDelete
  2. hongera kaka kwa kuzaliwa tena..make sure usikose sunday mazoezi

    ReplyDelete
  3. nakuonea raha niaje mie mume wangu hata kuongea hatuongei akirudi kutoka kazini anakula; akimaliza anachukua simu yake badae analala kwenye kochi akiongea ni salamu tuh

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake