Wednesday, October 30, 2013

MCHINA MWENYE UMRI WA MIAKA 26 YANG HUN AJIGEGEDA UUME WAKE

Yang Hu akiwa hospitali ambako alienda kuomba msaada wa matibabu baada ya kujigegeda uume wake. Yang Hu alifikia uamuzi huo kwa sababu aliona akukuwa wa na umuhimu wa yeye kubaki na thakari yake hiyo pasipo matumizi. Yang alikuwa mfanyakazi wa kiwanda cha kutengeza nguo cha Jiaxing uko Zhejiang. Yang alikuwa anafanya kazi masaa mengi sana bila kupata nafasi ya kuwa na mwanamke. Sasa siku moja siku ya tarehe 27 mwezi wa kumi saa tatu usiku alijifungia chumbani kwake na kukata dhakari yake. Yang Hu alichukua maamuzi hayo kwa sababu akuona faida ya kukaa na dhakari ambayo haitumiki. Kwaiyo kukata kwake kutamwondolea mawazo ya kuwa na mwanamke. Sasa basi baada ya kukata alienda hospitalini kutaka matibabu, na baada ya kufika kule Dr alimwambia kuwa awezi kumtibu hadi akalete kipande cha dhakari yake kwanza. Yang alirudi nyumba kufata kile kipande na alivyo fika hospitalini aliwakuta madoctor wana msubiri na alivyofika tu akahambiwa kuwa awezi kurudishiwa kipande chake kwa vile kimekaa muda mrefu na damu imekauka kwaiyo imekula kwako.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake