Tuesday, October 29, 2013

MOTO SULEIMAN AENDELEA VIZURI NA KUANZA MATIBABU CCBRT HOSPITAL.

Wadau wa Mimi na Tanzania,
Napenda kuwajulisha kuwa mtoto Suleiman anaendelea vizuri. Hadi leo hii tumefanikiwa kukusanya shilingi milioni 4.2 kama michango ya Watanzania kwa Suleiman. Atakuwa CCBRT hopsitali kuanzia jumanne kwa ajili ya kuanza matibabu yake. Nawashukuru wote na tuendelee kumuombea Suleiman. Mungu ibariki Tanzania na WATU wake... Kwa wale wanaopenda kuendelea kumchangia, Imelda Mtema ndiye mhusika. Tigo Pesa 0713612533 na m-pesa ni 0754021301

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake