Wanazi wa simba
Nani zaidi nani mtani jembe ni mabo ya Yanga na Simba hayo
Mwendo wa kiduku utaipendatu rangi yako
Mashabiki wa Simba na Yanga wakiwa wanacheza kwa furaha jana wakati wa maandamano maalum yaliyofanywa kuitangaza Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa mashabiki wa jiji la Dar es salaam. Msafara huo utatembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kwa siku tatu kuitambulisha kampeni hiyo na kutoa elimu namna ya kushiriki.
Msafara wa magari yakipita katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam jana kuitangaza kampeni ya Nani Mtani Jembe inayowashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga kuzipa shavu timu zao kupitia kampeni hiyo inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager. Msafara huo utatembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kwa siku tatu.
Mbezi Joseph akimvalisha jezi ya Yanga shabiki wa Yanga Anastazia John (80) wa Mabibo nae alijitokeza kupokea msafara huu wa utambulisho wa Nani Mtani Jembe kwa mashabiki wa Dar.
No comments:
Post a Comment