Wanasema watu kutoka Congo wanaimba sana… ni kweli wanaimba… na huyu pia anatokea hukohuko Congo.
Alicious Theluji ni mzaliwa wa Kivu huko Congo DRC lakini amekulia Nairobi Kenya na sasa ni mwimbaji mkali ambae ana uwezo wa kuimba kwa lugha nne ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa na Lingala.
No comments:
Post a Comment