MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.
Wiki hii yote kumekuwa na kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kumefunikwa na tukio la kustaajabisha linalomuhusu mbunge wa CCM Rosweeter Kasikila mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini kufunga ndoa na kijana mdogo Michael Chstiani (26) Mtandao huu umepata taarifa mpya juu ya tukio hilo ambalo kwa sasa liko kwenye mgogoro mzito.
Habari toka kwenye chanzo chetu cha habari zilisema kuwa sababu kubwa ya Mheshimiwa huyo kuangukia kwenye penzi l "Serengeti boy" huyo ni kutokana na ufundi wa hali ya juu wa kijana huyo hali iliyofanya Mama huyo kushindwa kujizuia na kuamua kumfanya kijana huyo kuwa mume kabisa.
mama mmoja wa makamo ambae alisema ni rafiki wa karibu na Mbunge huyo alisema " Jamani wanangu acheni mapenzi yaitwe mapenzi ambayo hayana macho haya hata mkificha lakini baadae kila kitu kitakuwa wazi huyo kijana ana sifa ya kujua sana mambo anasifika mtaa mzima hivo Mh alizidiwa na uzalendo akaamua kufunga ndoa nae ili kufaidi ndoa vizuri" Alisema mama huyo.
Aidha ishu hii licha kutizamwa kwa jicho la tatu na baadhi ya watu huku ikiwa na mlengwa wa kisiasa pia watu mbalimbali walitoa komenti zao na kueleza kuwa Mh huyo hakuwa na kosa kufanya maamuzi ya kuolewa na kijana huyo ambae kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu huyo kijana ni mtu mzima kwa maana ya
sioni cha ajabu hapa, huyu kijana ni mtu mzima na sio mtoto, kilichopo ni mpitano mkubwa wa umri. wakati mwingi wanawake wanaandamwa si hapa kwetu Tanzania tu bali hata sehemu nyengine za dunia ikitokea kuoana au kuwa wapenzi waliowazidi umri. lakini si mara nyingi kuona wanaume wanaooa wanawake waliowazidi kiumri kuandamwa, mfano karibuni niliona mhe, Reginald Mengi na mke mpya ni mdogo sana wa umri lakini hakuandamwa na vyombo vya habari.mapenzi hayana umri ni mapenzi tu, tuwaachie wapendanao wafaidi watakapochoka wataamua wenyewe la kufanya.
ReplyDeleteSasa itakuaje huyo bwana akitaka mtoto, itabidi akazae enje.
ReplyDeleteNi rahisi kuongea hakuna shida kwa sababu ni mtoto wa mwenzenu. Subiri wa kwako au ndugu wa karibu atakapokamatwa na hao used.
ReplyDeleteHayo ni maamuzi yao jamani mbona wantanzania tunapendaga kuingilia mambo ya watu? Kijana ni mtu mzima si mtoto huyo tuwaache wa enjoy honeymoon yao na tusiwazonge kwa maneno. Badala ya kuwaza kuhusu hili bora tuwaze kuhusu opportunities ili tuweze kuwa na mafanikio na maendeleo yetu binafsi kuliko kuingilia maisha ya watu ambayo hayatuhusu. wamependana wao na wakishindwana si kila mtu anajua njia aliyoingilia? wapambe waachieni mapenzi yao. "waacheni walale..."
ReplyDeleteVIJANA WANAPENDA MAISHA LAINI SIKU HIZI SO NJIA PEKEE NI KUJIWEKA KWA MAMA. VIJANA ACHENI UJINGA KAZENI MISULI FANYENI KAZI ACHA KUWA KUPE.... JAPO MAPENZI HAYANA MACHO LAKINI .....
ReplyDeleteHAYATUHUSU TUWAACHE WAENJOY MBONA WANAUME WATU WAZIMA NAO WANATEMBEA NA WASICHANA WADOGO HAWASEMWI NA WENGINE WANAWAOA KABISA?
JUST IMAGING MZEE MAJUTO MKE WAKE WALIEACHANA NAE ANA MIAKA 20 BABU MAJUTO ANA MIAKA 60+ SASA MBONA HAWASEMWI WAO? MWACHENI MAMA WA WATU ALE RAHA...VUNJA MIFUPA INGALI KIUNO UNACHO MAMA
Na siku hizi imekuwa mtindo used kushika watoto wa wenzao, lakini na hao watoto na pia wana viranga, cha kwenda kutaka kufunua mizee , wanayatafuta wenyewe..na hii mi used ikishika mtoro itampa kila aina ya mitindo, eee dunia kushnehii..
ReplyDeleteMICHICHEMI!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete