Aneth Kushaba AK 47, Mary Lucos na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao.
Mwanadada akionekana kuchizika na Skylight Band...Hapana chezea kabisa....!
Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo akaamua kushuka jukwaani na kuwasogelea karibu zaidi mashabiki wa Skylight Band.
Kikosi kazi cha Skylight Band kimwaga burudani ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mu-Asia akionekana kupagawa na Live Band ya Skylight.
Yachuma mi nataka mukanda Yachuma chuma.....Mashabiki wakicheza style mpya ya Skylight Band huku wengine kwa utamu waliamu kushika vichwa kabisa.
Uwapo kwenye burudani ya Skylight Band shida zako unaweka chini kwa muda then unarusha mikono juu na kubanjuka mwanzo mwisho.
Mwanadada mrembo Sandra alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na Skylight Band Ijumaa iliyopita na bata lake lilikuwa hivi kama picha zinavyojionyesha.
Shwangwe kibao.
Full vicheko....Njoo na wewe Ijumaa ya leo usheherekea Birthday yako na Skylight Band pamoja na kuimbiwa wimbo maalum na Vijana wa Skylight Band.
Birthday Girl Sandra akimlisha cake shosti wake.
LEMUTUZ naye aliwakilisha.
Mpiga Drum wa Skylight Band Idrisa naye aliwakilisha.
Birthday Girl Sandra akiendelea kuwalisha mabesti zake cake.
Mary Lucos akiwapagawisha mashabiki wa Skylight Band na reggae.
Mashabiki wakiyarudi mangoma.
Aneth Kushaba AK47 akijimwaga jukwaani....Wakuache mtoto wa Kisukuma.
Burudani mwanzo mwisho na Divas wa Skylight Band.
Mary Lucos wa Skylight Band na marafiki zake waliokuja kumshuhudia shosti wao akiimba Live Ijumaa iliyopita.
Warembo wakali wa town ndani ya Skylight Band Thai Village.
William Malecela a.k.a LEMUTUZ akipata Ukodak na Mbabes.
Wadau wa Skylight Band wakifurahia Ukodak.
Skylight Band Fans waki-show love.
Unaposikia mziki mzuri wa Skylight Band hawa ndio mainjinia wenyewe wa Sound....!
Mh. Bundala na Mdau Emmanuel wakipata Ukodak na Divas wa Skylight Band. Je unajua kwanini wanaitwa Divas..??
Warembo wakali wa town wakishow love na Ukodak. Usipimee unakosa vitamu njoo leo kati ujuionee mwenyewe Swagga za mjini.
LEMUTUZ na Mdau wa vicheekesho Evans Bukuku.
Wadada mnataka kupendeza kama Aneth Kushaba AK47 mtafute leo atakupa siri ya urembo wake.
No comments:
Post a Comment