Wednesday, October 30, 2013

TANGAZO


TAWI LA CCM OHIO, USA
Utowaji wa Kadi za Chama kwa Wanachama Wapya
Tawi la CCM Ohio, Lilifunguliwa Rasmi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Tanzania Bara
Mh. Mwigulu Nchemba (MB) tarehe 28 September, 2013 Columbus, Ohio.

Mjumbe wa kwanza kupokea kadi ya CCM, Ndugu Deo Mwalujuwa akionyesha kadi yake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Tawi la CCM, Ohio Bwana E. Joe Ngwilizi Muhaya.
Wanachama na wote wanaotaka kujiunga CCM kupitia Tawi la Ohio, mnashauriwa kuwasiliana na Katibu wa Tawi, Mheshimiwa E.Joe Ngwilizi Muhaya via email: Joengwilizi@yahoo.com au simu(330) 361 1933.
Pia unaweza kuwasiliana na Katibu Mwenezi, Kelvin Mkwawa (614) 596 3762.
Na M/Kiti Wa Vijana wa Tawi na Naibu Katibu Mwenezi, Edgar Mjengwa (614) 598 8503.
Habari zaidi zitafuata kuhusu matukio ambayo Kamati ya Uongozi wa Tawi inayafanyia maandalizi.
Kidumuu Chama Cha Mapinduzi.

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake