Saturday, October 26, 2013

TAWI LA CCM NEW YORK METRO AND TRI-STATE AREA

Katibu wa CCM tawi la New York bwana Shaban Mseba amkabizi kada # 1 wa ccm bwana Seif Akida, Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye ofisi za Chama New York.
Hapa bwana Seif Akida akishikana mkono na Katibu wa Tawi la CCM New York baada ya kukabidhiwa kadi yake ya uanachama
Wakinyoosha mikono juu kama ishara ya mshikamano katika chama baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM New York.

9 comments:

  1. Tawi la Republican Party lipo hapa Buguruni Bungoni, wote mmakaribishwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda ubalozi wa marekani dsm vyama vyao vyote vipo

      Delete
  2. Next President of the USA from CCM? haya matawi yana maana gani haswa, do they help the rising costs and unemployment of migrants? Definitely NO, so ushabiki au ushamba tu. YOu people seem to have a lot of time.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe usiwe mshamba ni nchi nyingi kama hujui hapa usa zina vyama vyao vya siasa na zina ruhusiwa ku vote na huu ni mwanzo na sisi huku tunaweza kubahatika ku vote usichanganyea matatizo yako ya uhamiaji kulaumu vya vya siasa nchi hii ni huru kufungua chama cha siasa chochote unachotaka. Jitoleze nawewe rabda waweza kupata msaada na mambo yako ya uhamiaji .

      Delete
  3. a senator from CCM, I would like to c zat, will never happen.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ccm cuf chadema ntc ni vyama vya siasa vya Tanzania sio vya marekani ni dunia gani ulioko wewe

      Delete
  4. Tawi la USA Democratic Party, Uvinza Kigoma.

    ReplyDelete
  5. Wanaishi maisha ya Tanzania nchini Marekani. Angalieni mambo wanayoyafanya wenzenu toka nchi nyingine?

    ReplyDelete
  6. Mbunge wa morogoro kutoka republican party I will like to c zat will never happen. love and support my country Tanzania

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake