Mrembo Anna Gura wa Tanzania akipozi kwenye maonesho ya mavazi ya mwanamitindo mbunifu Doreen Mashika wa Zanzibar yaliyofanyika kwenye ukumbi wa 6 Degrees South mjini Zanzibar, maonesho hayo yamedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mwanamitindo Mbunifu wa mavazi, Doreen Mashika wa Zanzibar akitoa maelezo ya kazi zake kwa watu waliohudhuria maonyesho ya mavazi kwenye ukumbi wa 6 Degrees South mjini Zanzibar chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Wageni waalikwa wakifuatilia maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo Doreen Mashika kwenye ukumbi wa 6 Degrees South mjini Zanzibar jana.
Mpambaji Reto Camicael kutoka Afrika Kusini akimwandaa mrembo kutoka Kenya, Dianne Nyanzwa kwenye onyesho hilo lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mrembo Joselyn Mrashi wa Tanzania akiwa katika pozi la vazi la mwanamitindo, Doreen Mashika, mbunifu wa mavazi kutoka Zanzibar kwenye maonyesho ya mavazi yake yaliyofanyika kwenye ukumbi wa 6 Degrees South mjini Zazibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana.Mpambaji Reto Camicael kutoka Afrika ya Kusini akimpamba Susanne Manoko wa Tanzania kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo mbunifu wa Zanzibar, Doreen Mashika yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa 6 Degrees South mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana.Membo Dianne Nyanzwa wa Kenya (kulia) akipozi na mrembo wa Tanzania Sussane Manoko kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo, Doreen Mashika.
Warembo wa Tanzania, Joselyn Mrashi, Anna Gura wakipozi na Sussane Anyango wa Kenya (kulia) jana kwenye maonyesho ya mavazi yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana.
(Picha zoye na Martin Kabemba)
No comments:
Post a Comment