ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 30, 2013

WANANCHI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU(BABA MZAZI WA WEMA SEPETU) NYUMBANI KWAKE SINZA

Wema Sepetu  (katikati) akiongea na Dada yake (wa kwanza Kushoto) na (kulia) ni mama yake mama yake mzazi
Watu wa karibu na marehemu waliokuwa wanaishi naye huko Zanzibar wakizungumza jambo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam
Mtoto mkubwa wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu, Aman Isaac Sepetu akizungumza jambo na mwandishi wa habari,  Mkwaiawa Kuhenga  leo October 29, 2013 nyumbani kwa Marehemu
Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo leo mchana
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mama akiwa na mwanae baada ya kufika msibani
Kajala alishindwa kujizuia na kuanza kulia na kupelekea watu wengine kuanza kulia kwa majonzi
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukifikishwa nyumbani kwake
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba
Aman Isaac Sepetu ambaye ni mtoto mkubwa wa marehemu akitoka ndani na msalaba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likitolewa ndani ya nyumba kwa ajili ya kufanyiwa maobi na kuagwa ili kupelekwa Zanzibar kwa ajili ya mazishi
Wema Sepetu akiwa ameshikiliwa baada ya kuona mwili wa baba yake mzazi Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa kwenye jeneza
Ilikuwa ni simanzi kubwa kwa Wema Sepetu
Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa ndani ya jeneza
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Ni simanza msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo leo October 29, 2013
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe akitoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Mwendesha misa akitoa neno
Somo la mwenyezi mungu likisomwa wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Mwili wa marehemu ukiombewa
Baadhi ya watoto wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Wasifu wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetua ukisomwa
Mtoto mkubwa na msemaji wa familia, Aman Isaac Sepetu akitoa shukrani kwa wale wote waliofika kuwafariji kwenye msiba wa baba yao mpendwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Mke wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu akiwa na mmoja wa mtoto wa  Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Baadhi  ya ndugu na jamaa waliofika msibani

Ni majonzi

picha kwa hisani ya Dar es Salaam yetu

No comments: