Friday, October 25, 2013

WASHINDI WA SERENGETI FISTA VIP WAWASILI JIJINI DAR

Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP katika pozi la pamoja mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakishuka kwenye gari maalum wakati wakiwasili Belinda Annex kwa ajili ya chakula cha jioni siku ya jana jijini Dar es Salaam.
Washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwasili Belinda Annex. Washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakifurahia na kinywaji cha Serengeti Lager mara baada ya kuwasili Belinda Annex jijini Dar es Salaam.
Gari la washindi wa Serengeti Fiesta VIP .

1 comment:

  1. kunyweni mipombe wee mpaka akili zikutokeni wadanganyika wenzenu majuu wana rehab kibao nyinyi walala hoi ndo kwisha kazi ukinywa unapoteza muelekeo wa maisha na kizazi chako tulizeni ball aste aste babaaaaaa zenu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake