ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 26, 2013

WASHINGTON DMV- LEO JUMAMOSI TUNAFANYA HARAMBEE(FUND RAISING) YA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU "BI MARTHA SHANI" NA FAMILIA YAKE KWENDA TANZANIZANIA

Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013)

KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA LEO JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA NANE MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE (FUNDRAISING) KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA


KEMP MILL ESTATE LOCAL PARK

120 CLAYBROOK DR

WHEATON.MD.20906
KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

No comments: