ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 18, 2013


WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAGOMA!
 Wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam asubuhi hii wamegoma kufungua maduka wakipinga agizo la kununua mashine za kutolea risiti za kieletroniki kutoka TRA! Maduka yote eno hilo yamefungwa na hakuna huduma yoyote!

No comments: