Haa!! Baba Nyoka Huyooo!!!
binadamu tumekuwa tunaiabudu pombe kuliko Mungu,sasa siku kama hii pombe ndio MUNGU wako au,au ni sifa tuliyonayo kupiga picha na pombe.
HAYA BABA HONGERA SANA JE UMETIMIZA MINGAPI NA JE UNAMSHUKURU MUNGU AU NDO UNAENDELEZA UTAMADUNI WA KUNYWA KUSAZAA MPAKA LIEMBE.MTOTO WA KIISLAMU PIGA MSALAA BABA HUJUI LINI UTAONDOKA HAPA DUNIANI
Hebu jifunze jinsi ya kupiga picha sio na lichupa la jin unatudhihirishia kuwa wewe ni nani katika jamii na hata familia yako?
cha pomba unatuhakikishia.
CHA POMBE WE MMAKONDE.
Tena unabeba jina kubwa la Yasin, au we si muislamu? Uislamu na pombe wapi i hope ni jina tuu halina mahusiano na imani
Post a Comment
7 comments: