Ngoma ya Chismo Chuchuchu imeingizwa lasmi katika mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 17/11/2013.
Video ya wimbo huu imekamilika na utaratibu wa kuisambaza katika vituo mbali mbali vya tv utafanyika mapema ndani ya mwezi huu.
Tunapenda kuwashukuru wadau wote kwa ushirikiano.
asante!
Facebook: Machapta Inc Tanzania.
Twitter: Machapta Inc.

No comments:
Post a Comment