Kibaka jina halikufahamika jana alipokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira huko Kigogo Sambusa, mto Msimbazi baada ya kusadikiwa ameiba deki.
Jamaa mtafuta riziki akila kichapo kinachosababisha dhamani ya utu wake kupotea,
Askari wa usalama barabaran akijaribu kuokoa maisha ya kijana huyo kwa kumpeleka kituo cha polisi lakini haikuwezekana kutokana na wananchi kuwa na hasira na kumzidi nguvu Askari huyo.
Kijana huyo akiwa amejificha chini ya mtaro kuokoa maisha yake.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukiom hilo. |
No comments:
Post a Comment