MALAIKA BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWASASA NCHINI YA CHRISTIANL BELLA.
Baada ya kuachana na bendi yake ya zamani hatimaye mwanamuziki Christian Bella amezindua bendi yake inayoitwa “Malaika music band” ambapo kwenye uzinduzi alipewa support na wasanii kama Dully Sykies, Cassim Mganga na wengine.
KWAHISANI YA MILLARD AYO.COM
No comments:
Post a Comment