ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 3, 2013

Mh Freeman Mbowe ahani msiba wa Mh Zamberi Ngobai Diwani wa Chadema Nyasura - Bunda


Mhe Freeman Mbowe akimpa pole Mke wa Marehemu Albertha Zamberi, aliyevaa shati ya kitenge pembeni yake ni Kijana Mkubwa wa Marehemu Ndugu Emanuel Ngobai.
Mhe Freeman Mbowe akibadilishana mawazo na kupata maelezo kutoka kwa kijana Mkubwa wa Marehemu Mzee Zamberi Ngobai Mwisarya anayeitwa Emmanuel Ngobai.

No comments: