ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 17, 2013

MSIBA NEW YORK NA TANZANIA KATIKA FAMILIA YA MAHUNDI KISOMO LEO JIONI NYUMBANI KWAO BROOKLYN.

Taarifa ya Msiba wa Mama yake Latifa 
New York Tanzanian Community inasikitika kutangaza kifo cha Bi Mwanakondo Jumbe Mmanga. Mama yake Latifa ambae pia ni Bibi yake Bahia, Hamisa na Ashraf kilichotokea asubuhi ya jumapili nyumbani Tanzania. Kama ilivyo ada yetu wanajumuiya kisomo kitakuwa leo jumapili saa kumi na mbili jioni nyumbani kwa wafiwa. 
Address
 658 Kosciuzko St,
 Brooklyn, Ny 11221.
 Kila atakaeweza aje na chakula au vinywaji baridi ili tuweze kufanikisha kisomo hiki. M/Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi na awape wafiwa moyo wa subira. Ameen.

Hajji Khamis
Chairman
NYTC.

1 comment:

Anonymous said...

haji mbona wewe huwa huji na chakula ua kuchanga pesa huji unajidai ustadh wa kusoma dua watu wa dar wanakujua vizuri labda uwadanganye watu wa new york ustadh huu umeupata wapi hajj wewe muogope mungu wakao mtoto wa dar wewe