ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 18, 2013

QUIZELLAH, SALLY BEAUTY NA MWENYEJI WAO LINDA WATEMBELEA MGAHAWA UNAOZUNGUKA YA THE WESTIN HOTEL DOWNTOWN ATLANTA.

Quizellah Ntagazwa kutoka Maryland akiwa na mwenyeji wake Linda Bezuidenhout (kulia) ndani ya Mgahawa wa kimataifa uliopo kileleni mwa hoteli ya The Westin kinachozunguka taratibu bila wewe kujua na kujikuta unaangalia pande zote la jiji la Atlanta huku ukiendelea kupata menyu yako taratibu.
Quizellah katika pozi.
Quizellah akiwa na mwenyeji wake Linda kushoo ni Sally Beauty ambaye siku hii ulikuwa mkesha wa siku ya kuzaliwa ya Sally Beauty.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

6 comments:

Anonymous said...

Damm damm mashosti mmependeza sana,kuleni raha ATL woow yaani mnaonekana kama ni wake wa mahoolwood.Quizellah naitaka hiyo gauni najua tuu itakuwa ni LB design,Damm my girl friend Qiuzellah kaka yangu katoka sweeden anatafuta girl friend wa kuchill naye DC,nitakutafuta ukirudi DC amekupenda mnoo ananisumbua soon alivyoziona hizi pictures,amesema ametembea sana duniani but your the most beautifil woman in the world,really seriously nitakutafuta honey,mimi naishi Maryland naunafamu sana nitakutafuta lazima nikuhook with my brother,he is ni love with you.Bonge la Handsome utazimia ukimuona.Hahaha I love you ladies wote mlipendeza sana.Quize nitakutafuta

Anonymous said...

I hv been there before ila sikumwaga picha,lol hahahaaaa .

Anonymous said...

Wewe mdau wa kwanza acha kumdhalilisha mwanamke mwenzio..huyo kakako anataka mwanamke wa kuchill mwambie akatafute escort.. Huyu ni mdada ma heshima zake.. Badala kumuunganishia ndoa au relationship eti unamtafitia kakako malaya... Chill nae mwenyewe.. Quizella mama umependeza .. Mungu akupe mume mzuri na kila la heri amina.. Na wewe mwenye kaka yesu akushinde na tabia yenu mbaya

Anonymous said...

Quizellah wewe ni hot no matter what wanaume walioa na wasio na wake always wanaku admire.Huyo mdaku hapo juu kwani hajui Quize ameolewa?Yaani watu wengine hawana hadabu hata kidogo je ukivunja ndoa ya mtu,huyo kaka yako wa sweeden mwambie arudi kwao sweeden kwanza hatamuweza.Quize ni anajisumbua bure wewe unazania Quize ni malaya?Quize ni amejiheshimu sana na ametulia na familiya yake,ndiyo kila mtu anajua quize she is hot akivaa anapendeza she is absolutelly hot.I love this woman,mwambie huyo kaka yako arudi sweeden haraka ningemjua ni angekula mateke tuu hapa DC mpaka angejuta kuzaliwa.Quize keep your beauty mamii ulipewa na Mungu and no body can take away from u,na Mungu alikujalia kuwa na Roho nzuri your given Quizellah,I love u

Anonymous said...

Huyo Quizellah Ntagazwa alitakiwa aishi Hollowood kwa matajiri siyo hapo DC kutwa majungu jamani watanzania tutafika wapi?Kapendeza,ni mzuri mpeni credit yake,siyo kila siku Quize Quize Quize.Quizellah ni mtu mwenye.upendo na anasaidia sana.watu hapo DC hiyo ni kitu ambachokinajulikana.Quize mama your one of the kind,ringa Darling uzuri ulijaliwa watu wanaulilia hawaupati watabaki wanapaka.powder mpaka kukicha then aliyepewa ametulia hana hata wasiwasi,eti nataka nikuunganishe na kaka yangu alikwambia anamtaka.huyo kaka yako?yaani watu bwana.Go back to school,school its verry Important.Lol

Anonymous said...

Sister umependeza sana big up saNAAA!