Mwenyekiti wa Simba SC, Aden Rage (katikati) akiwa na wachezaji wapya Badru Ally (kulia) na Awadh Juma (kushoto) baada ya kusaini kuichezea Simba leo.
Klabu ya Simba SC leo imewasajili wachezaji wawili ambao ni Awadh Issa kutoka Mtibwa Sugar na Ally Badru kutoka Canal Suez ya Ligi Kuu ya Misri! Picha kwa hisani ya GPL
No comments:
Post a Comment