SULEIMAN "DEFAO WA UGHAIBUNI" AWACHENGUA MASHABIKI DELAWARE
Suleiman " General Defao wa Ughaibuni" wapili toka kulia akiwaongoza wenzake na kuwachengua watazamaji waliokuwa wakifuatilia dansi yao siku ya harusi ya Bety Mbatta Delaware nchini Marekani Video kwa hisani ya Iska Jojo Photography