ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 21, 2013

VIBE MAGAZINE NDIYO HABARI YA MJINI SUKARI YA WAREMBO DIAMOND

Diamond kwenye magazine ya Vibe kama unavyoona picha hii inayopamba magazine hayo yaliyoingia sokoni Nov 19 uko bongo mjini. Diamond jina la utani ujulikana kama sukari ya warembo. Jina hilo amepewa kwa sababu ya maneno ya nyimbo zake au ni handsome boy warembo wenyewe wanalo jibu ya sukari hiyo.

No comments: