ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 3, 2013

Wilfred Moshi na Mlima Everest{ Sehemu ya Tatu}


Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Uingereza wanakuletea sehemu ya tatu ya "Wilfred Moshi na Mlima Everest" inayoendelea kuelezea kisa cha kusisimua na kutisha cha kijana aliyekuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani, mlima Everest.

No comments: