Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa wa kufunga mwaka na David Chalanga wa Kenya mpambano utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani klabu
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa wa kufunga mwaka na David Chalanga wa Kenya mpambano utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment