ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 4, 2013

KAJALA AKWEPA TENA GEREZA AREJEA URAIANI

Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Chanzo GPL

1 comment:

Anonymous said...

Kajala, unakoelekea kubovu, hata ukitundika tasbihi mkononi bado inaonyesha hujui jinsi ya kuitumia usitake kuonyesha watu kuwa unayajua kwa kawaida hatuonyeshi ila tunaitumia ipasavyo= huna jinis ya kukwepa tuhuma. pole.