Advertisements

Tuesday, December 3, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe No. 44 from Luke Joe on Vimeo.

6 comments:

Anonymous said...

CHADEMA wamemtenda Zitto kama Malcom X alivyofanyiwa na Nation Of Islam hapa US. Wamemtumia kujenga chama hasa kupata wanachama pamoja na ruzuku kwani bwana mdogo ana charisma lakini mambo na maamuzi yote ndani ya chama yanafanywa hwa siri na yeye hausishwi. Kama kweli Zitto ni mwanasiasa mahiri basi apiganie wagombea binafsi katika katiba kwani sioni uhaini kuweka wazi kama unataka kugombea uenyekiti CHADEMA. Uhaini gani iwapo uchaguzi mkuu CHADEMA ni mwakani mwezi wa sita. Hapo naona wenzake wanamuweka sideline ili asipate nafasi kugombea uenyekiti na urais kupitia CHADEMA. Mbona CCM kila mtu kivyake katika mbio za kumrithi JK na hakuna anaeambiwa ni muhaini ndani ya chama. Siasa za bongo ni fitina mtindo mmoja. Wakiweka katika katiba hakuna vyama kupewa ruzuku tutaona kama kweli watu watakimbilia siasa.

Anonymous said...

kwa ushauri wangu tuu kabla ya kukaa na kurekodo kijiwe kwenye mada kama hii mfanye uchunguzi kwanza kwani kwa kuangalia tuu katika hawa washiriki wa mada hii wengi hawajui kwa nini zito kabwe kavuliwa uongozi,sababu kubwa ni waraka,hayo mengine ni maneno ya mtaani sasa wengi hapo wanaonekana hawajui

Anonymous said...

Dotto umechemsha sana. Yani kwamaana hiyo Chadema ni chama ambacho hakina Democracy na nichama ambacho kinavunja sheria na nichama ambacho hakifuati kile kinachodai kinaamini au fuata. Chadema ni wachaga tuu, ndo maana kila mtu ambaye anyetaka kugombea nafasi ya uwenyekiti kama si mchaga wanapingwa remember Chacha Wangwe? mpaka kunawatu walisema kuwa mboye anahusika na kifo cha Wangwe.....Mbowe sikongezi kwanza mkwepa kodi, na club yake inadharilisha wanawake na kueneza ukimwi.

Chadema bado sana!

Anonymous said...

Ally you made my night, yani umempa Dotto kitimoto ya nguvu! Dotto ni Chadema na hana mapenzi yoyote kwa Zitto.

xt said...

Zanzibar ina watu 1.2 million sio laki 3. Get ur facts

Anonymous said...

naona mmenunua makochi mapya,pamependeza na hayo ndio yanafaa kwa kijiwe kuliko yale kwa kuchafuka.