Watz wako willing ila hali ya sintofahamu inawafanya wakaidi,cha muhimu ni kuelimisha umma,hela hiyo ni kwa matumizi gani,waelimishwe tu. Na matokeo yawe ya ukweli sio usiri. Nafikiri hii ndio upungufu mkubwa kati ya serikali na umma,mambo ya kushtukiza sio mazuri. Tujifunze kwa mataifa yalioendelea ili tufike na sisi. Mipango inapitishwa sasa,ila utekelezaji unapewa muda mrefu ili jamii ijitayarishe,mentally,emotionally,economically etc. knowledge is powerful,& mind is a terrible thing to waste!!!
2 comments:

huyo jamaa mwenye kofia na tshirt nyeupe ndani anaongea pumba....hafikirii maisha ya watu masikina
Post a Comment