ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 30, 2013

MBUNGE VITI MAALUM (CCM) MKOANI MBEYA DR. MARY MWANJELWA AHUDHURIA UBATIZO WA MTOTO WA MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI, JOSEPH MBILINYI

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(CCM), akimpatia zawadi mke wa Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi(Chadema).
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa na Mbunge wa Jmbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi(SUGU).
Dr. Mary Mwanjelwa siku ya ubatizo wa Mtoto Shasa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) katikati, mtoto akiwa amebebwa na mama yake Mbeya Mjini.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Tufurahi pamoja
Sote ni ndugu.

1 comment:

Anonymous said...

nani alisema siasa ni ugomvi? nani alisema soccer ni ugomvi? SUGU na MWANJELWA onyesheni mfano huu mzuri