ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 29, 2013

Mgahawa wa Mtanzania Masai Mara Restaurant & Lounge wafunguliwa DMV

Mgahawa wa Mtanzania uliobeba juina la Masai Mara Restaurant umefunguliwa rasmi tangia mwezi uliopita mgahawa huu wenye chakula cha Kitanzania upo Washington, DC kwenye mtaa wa Georgia Ave, NW inapokutana na mtaa wa  Kennedy kama unatokea Silver Spring ukivuka mtaa wa Kennedy jengo la kwanza mkono wa kulia address ni 5422 GEORGIA AVE, NW, Washington, DC 20011 simu (202) 735-0641 ukipata taarifa hii njema mtaarifu na mwenzio na wewe, yule pamoja na wao Karibuni sana.

2 comments:

Anonymous said...

mbona hawapokei simu? au wako bussie sananaa. nataka oder ya wageni 14.

Anonymous said...

Asante wadau wenzangu na wote mnaojishughulisha ili angalau wabeba box wapate mahali pa kupooza maumivu yao. NB: Lakini fanyeni kazi hii kwa uangalifu mkubwa, K'njaro wako wapi?