MAHALI: 397 EUCLID AVE, OAKLAND CA 94610
AJENDA:
• KUJADILI UHAI NA MENDELEO YA TAWI
• KUJADILI NA KUPEANA MIKAKATI YA KUFANIKISHA SHEREHE ZA KUMBUKUMBU YA
KUZALIWA KWA CCM- ZITAKAZOFANYIKA HAPA OAKLAND TAREHE 8 MWEZI WA PILI
(FEB 8TH)
• KUJUANA ZAIDI NA KUUNGANIKA NA MARAFIKI ZETU WENGINE AMBAO SI
WANACHAMA KATIKA SHUGHULI ZA KUTUNISHA MFUKO,IKIWA NI KUNUNUA
VINYWAJI, VYAKULA MBALIMBALI, NA MINADA YA VITU MBALIMBALI. (BAADA YA 6PM)
WOTE MNAKARIBISHWA,NA PIA TUTAGAWA KADI KWAWANACHAMA WAPYA.
KAMA UNATAKA KUBURUDIKA NA WEWE SIO MWANACHAMA BADO UNAKARIBISHWA BAADA YA
MKUTANO WETU TUUNGANE PAMOJA KWA MAONGEZI YA KAWAIDA KAMA WATANZANIA.
IMETOLEWA NA:
ERICK BYORWANGO-KATIBU WA TAWI. (510-5205995)
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
No comments:
Post a Comment