Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
Kwel mtikila! Chadema imepoteza mwelekeo kabisa. Na afadhali madudu uao yameonekana mapema kabla ya 2015. Msahaun hatamu maisha yenu yote. Mtabaki na uchaga wenu na hampati lolote. Kapikeni mbege wachaga nyie
ReplyDeletewee Mtikila ulishamalizwa kisiasa..haihitaji Shule kuelewa mienendo ya Zitto haikuwa pamoja na chadema...tuambie unafanya nini kwa DP kutukomboa kwani hata wewe ulishapakwa udini tena wa waziwazi...Chadema chama chenye watu makini hakiwezi kufa kisiasa kama ulivyouliwa wewe!! mimi siyo mchaga wala mkristo lakini nakubali chadema ni mkombozi pekee wa nchi yangu Tanzania...
ReplyDeleteReally? ....Really? Ama kweli nyani haoni kundule!!!
ReplyDelete(1) Huyu babu yangu Tikila amekuwa mwenyekiti wa DP kabla mimi sijazaliwa takribani miaka ishirini iliyopita. Historia inaonyesha kwamba babu yangu Tikila aliwahi kufungwa jela, lakini kiti chake kilimsubiri mpaka alipomaliza kifungo chake. Hivi hii ndiyo demokrasia? Kama kuna wenye Chadema yao iweje yeye asiwe ndiye mwenye DP yake katika mazingira haya? Nadhani afadhali Group of Big Eight kuliko Group of Big One kwa vile angalau kutakuwa na chembechembe za demokrasia ndani ya Group of Big Eight.
(2) Babu yangu Tikila anaamini kwamba Watanzania wenye asili ya Asia au wale wa upande wa Zanzibar hawana haki ya kuishi kwenye ardhi anayoendelea kuiita Tanganyika. Je, huu sio ubaguzi (discrimination by race, origin)?
Grandpa Tikila is the least qualified person to preach nondiscriminatory politics on earth!!!
Mheshimiwa Mtikila Chris, yaani siku zote umekaa kimya huoni maovu yote wanayotenda CCM ukayasemea! leo umeona Chadema wanafanya yale yaliyotakiwa kwenye chama Imara, unaaanza kubwabwaja!! kweli unajua ulivyomalizwa kisiasa na hao hao CCM na huna mbele wala chama unachokiongoza sasa hivi, sidhani hata kama utajipendekeza kujiunga Chadema wanaweza kukufikiria, jaribu sana kuwa makini na maibuko yako kwenye vyombo vya habari Hicho ndio chama kinachofuatilia miendendo ya wasaliti! Pole kama wivu unakuuma!.
ReplyDelete