Ni miezi inahesabika sasa hivi toka Mwanamitindo Mtanzania Sheria Ngowi kufungua duka Masaki Dar es salaam ambalo linauza mavazi mbalimbali anayoyabuni.
Mwamvita Makamba ni miongoni mwa Watanzania wanaopenda maendeleo na wanaopigana kwa njia nyingi kuhakikisha maisha yanasonga kwa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii ndio maana akajiunga na Sheria Ngowi kwenye hii kazi.
Kwenye Exclusive interview na AyoTV, Mwamvita anazungumzia uwepo wao kwenye soko la fashion Tanzania, mipango ya 2014 lakini pia mwishoni amekubali kujibu swali la kizushi kuhusu tweet aliyoandika muda mfupi tu baada ya kukamatwa kwa binti wa kitanzania mwenye miaka 28 anaedaiwa kuwa Jackie Cliff huko Macao China akiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola laki moja.
Mwamvita aliandika kuhusu na mabinti kufanya biashara ya dawa za kulevya, kwamba kama binti hana uwezo kabisa ni bora atafute buzi kuliko kufanya biashara ya dawa za kulevya.:
CREDIT: MILLARD AYO.
7 comments:
She is a down to earth woman and speaks very well. I like her attitude towards her country and life in general.... However I just don't like the message on her Twitter about women can get "mabuzi" instead of drugs!!!! Excuse me, does she know most "mabuzi" are married women?! Her massage should have been warning young girls not to look for "mabuzi" and to stop drugs (sembe) that's it...
Very good Mwamvita...
That was a very stupid comment from someone like you!! Either you meant it or you were joking!!! This girls can do much better like you too! There is no short cut in life!!
I dont mean to be rude but she looks like she lost too much weight to the extent even kichwa chake hakina minofu au ni mambo ya mawig.
No most mabuzi are not married women. They are probably married men. anonymous Dec. 31, 2013 6.52pm
Kidding I know it was the slip of the keyboard and thinking fast and furios.
Mwami a lot of respect to you .huna mashauzi unetulia ,Huna ugomvi na na mtu Kama vile ulivyokuwa kifungilo.Na pia nakupongeza saaaana kwa kumtema MK hongera kwa yote.Mungu akubariki saaaaaaana we are proud of you .
Mi naomba nikuulize dada kwani mbona siku zote hujakasirishwa na hili janga halikuanza kwa Jacky tu limeanza na wengi na hatujakuona uka tweet au jacky aikukera nini haswa?
Post a Comment