ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 3, 2013

SIFA ZA MTOTO WA KIUME NI KUGANGAMALA SASA KWA MWENDO HUU NA POZI HIZI KUNA KUGANGAMALA KWELI

Jamaa ameweka pozi hadi mtoto aliepembeni yake anashindwa kumuelewa kama ni kweli anachokiona au ni ndoto. Jamaa anajipendaje hadi kukaa kwenye kiti anahisi kama anaumia vile, na glass ya pombe aliyoishika mkononi anaiona mzito.

5 comments:

Anonymous said...

Shati lake tu utajua ni mtu wa ainagani
uwezi kuuliza

Anonymous said...

Mkubwa umesema sifa ya mtoto wa kiume....huyu ni "kaka du"...sio mtoto wa kiume.

Anonymous said...

Jamani mwenzenu kagangamala glas nzimz ameibeba mnataka nin tena

Anonymous said...

bongo mna maendeleo kama vijana wetu wameanzaq kufanya mambo hayo, it is a very sad story maana vitendo hivyo haviko kwenye mila yeyote ya Tanzania.

Anonymous said...

all about democracy" huo ndio mwanzo tu! mengi yanakuja