Tuesday, December 3, 2013

SIFA ZA MTOTO WA KIUME NI KUGANGAMALA SASA KWA MWENDO HUU NA POZI HIZI KUNA KUGANGAMALA KWELI

Jamaa ameweka pozi hadi mtoto aliepembeni yake anashindwa kumuelewa kama ni kweli anachokiona au ni ndoto. Jamaa anajipendaje hadi kukaa kwenye kiti anahisi kama anaumia vile, na glass ya pombe aliyoishika mkononi anaiona mzito.

5 comments:

  1. Shati lake tu utajua ni mtu wa ainagani
    uwezi kuuliza

    ReplyDelete
  2. Mkubwa umesema sifa ya mtoto wa kiume....huyu ni "kaka du"...sio mtoto wa kiume.

    ReplyDelete
  3. Jamani mwenzenu kagangamala glas nzimz ameibeba mnataka nin tena

    ReplyDelete
  4. bongo mna maendeleo kama vijana wetu wameanzaq kufanya mambo hayo, it is a very sad story maana vitendo hivyo haviko kwenye mila yeyote ya Tanzania.

    ReplyDelete
  5. all about democracy" huo ndio mwanzo tu! mengi yanakuja

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake