Tuesday, December 3, 2013

KANYE WEST on OBAMA "Now he has to say our name to be cool"


Nilichokiona mimi katika Interview hii Kanye West hakuwa anamwangalia usoni mke wake akiwa anaongea, lakini Kim alikuwa anamwangalia mume wake usoni alivyokuwa anajibu maswali sijuhi wewe mawazo  ya mtazamo wako. Unafikiri wanaume wanaona aibu kuwaangalia wake zao usoni wakiwa wanaongea?.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake