ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 4, 2013

STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO NAKURU


Kikosi cha Stars leo

Kikosi cha Burundi leo

Manahodha, Kevin Yondan wa Stars kushoto na hakimana Hassan wa Burundi kulia
Wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars wakimpongeza mfungaji wa bao lao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Burundi katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Callenge leo Uwanja wa Afraha, Nakuru, Kenya. Ushindi huo umeipeleka Stars Robo Fainali.
Thomas Ulmwengu wa Stars akimpambana na Nsabiyumva Frederic wa Burundi
Mrisho Ngassa na Nsabiyumva Frederic
Frank Domayo akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Burundi
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimdhibiti Hakizimana Issa wa Burundi
Amri Kiemba akimtoka Nduwarugira Christophe wa Burundi
Hererimana Rashid wa Burundi akibutua moira mbele ya Himid Mao wa Stars
Himid Mao wa Stars akiambaa upande wa kushoto
Himid Mao akimfunga tela mchezaji wa Burundi
Said Morad kushito na Ulimwengu wa Stars kulia wakiwania mpira wa kona, huku Mbwana Samatta kushoto kabisa akivizia utakapodondokea 
Mbwana Samatta akifumua shuti langoni mwa Burundi, Credit: Bin Zebeiry blog.

1 comment:

Anonymous said...

Hivi kweli hizi habari mnazipost baada ya kuzipitia au inakuwaje.! DJ Luke, ebu tueleze nani mfungaji wa bao la Stars anayepongezwa na wenzake ktk picha hii. Asante saana vijimambo.