ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 5, 2013

TABIA YA LULU KUPIMA UKIMWI MARA KWA MARA YAWASHTUSHA WATU

Gazeti moja la udaku Hapa nchini limehoji tabia ya Msanii wa Bongo Movies Lulu Michael Kupima Ukimwi Mara kwa mara Likidai ana nini mpaka Kila Mara afanye hivyo ..Limesema Wengi wanahohiji Kwa vile wanahisi kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara so kila wakati inabidi Apime ...Mmhhh kazi Kweli Kweli.

1 comment:

Anonymous said...

Samahani, that is a very shallow outlook maana hata wewe wabidi kupima mara kwa mara kwani hatuaminianiduniani, na ni vizuri kujua status yako kabla ya kuparamia relation ingine na kumjua status huyo mwenzi wako pia.
UNAFANYA KITENDO KIZURI SANA NA TUNATAKIWA KUIGA.
HONGERA DADA KWA UJASIRI